
91,752 views
22 Sep 2016
Watch Ibada by Ken Kisilu. Audio: Noel Waitara Video: Shaddy Mtumishi Like comment and share and kindly subscribe to my YouTube channel. Bonyeza *699*432# Skiza code 7191888 IBADA LYRICS Leo naleta zaidi ya wimbo kwako e ewe Bwana, wimbo huu ni ibada tupu uipokee Rabi, najitoa na vyote nilivyo navyo pasi na kubaki na chochote, Ibada hii iwe sadaka ikupendezayoo (maana wewe Ajabu) Refrain Wewe wa Ajabu Mungu mkuu sana Wewe wa ajabu Abba baba Wastahili sifa na utukufu Uketiye juu sana Uinuliwe usujudiwe uabudiwe
