
64,248 views
22 Sep 2016
Watch Katika Hema by Ken Kisilu. Audio: Noel Waitara Video: Shaddy Mtumishi Like comment and share, and kindly subscribe to my YouTube channel. Bonyeza *699*432# Skiza code 7191889 KATIKA HEMA (FULL LYRICS)- Ken Kisilu ooh Halleluyia Katika Hema yako e Bwana Ndipo ningependa kuhishi siku zote za maisha yangu Halleluyia (1 stanza) umetukuka zaidi ya yote we ni Bwana wa maBwana mtakatifu ni wewe Mwanakondoo umenipa pumziko yenye raha*2 (chorus) Nitakaa katika hema yako siku zote za maisha yangu na katika kilima chako kitakatifu kuyafanya maskani yangu*2 (2 stanza) Ombi langu kwako Bwana nisaidie kuwa Mkweli maishani mwangu kuenenda kwa ukamilifu na kutenda haki yako Bwana*2 (chorus) Nitakaa katika hema yako siku zote za maisha yangu na katika kilima chako kitakatifu kuyafanya maskani yangu*2 Na katika kilima chako kitakatifu kuyafanya maskani yangu
