
6,640 views
25 Jun 2020
kiswahili song is about COVID-19 Ndio mi na wewe tukue closer sasa hivi itabidi tuwe apart kwa sababu mwanadamu amekosa ndio sababu twasalimiana from far Ndio mi na wewe tukue closer sasa hivi itabidi tuwe apart kwa sababu mwanadamu amekosa ndio sababu twasalimiana from for hii covid imesababisha wengi wamefungiwa huko far sio tuu mina wewe bali ni dunia yote ime shutdown siati ni propaganda binadamu agonjeka dunia inapona hata ukiendea unga jaribu kukinga mwenye duka piga mask kwenye sura juu ata mwenye aka nayo hayuko sure kila mtu akue his brathers keeper tuwatoe masikini kwenye shida juu hii wingu ngumu inapita tujikinge tutafika natukifwata hizo advise lazima hii shida tutaiangamiza Ndio mi na wewe tukue closer sasa hivi itabidi tuwe apart kwa sababu mwanadamu amekosa ndio sababu twasalimiana from far Ndio mi na wewe tukue closer sasa hivi itabidi tuwe apart kwa sababu mwanadamu amekosa ndio sababu twasalimiana from for kumbuka vile berlin wall ilacome down eventually, ata hii pepo imefunga dunia itacome down itacome down wachenitushikanishe mawazo tuwakishe ulimwengu na mwangaza tuondoe hii giza inaangamiza watu, na mwangaza from county to county tusi back down sa ni time ya kupiga magoti bila ata lockdown tujaribu kuiangamiza kabla hijafika kipindi cha pili na wale wote imemaliza si siri juu tumewangusha sisi so kiswahili song is about CORONA Ndio mi na wewe tukue closer sasa hivi itabidi tuwe apart kwa sababu mwanadamu amekosa ndio sababu twasalimiana from far Ndio mi na wewe tukue closer sasa hivi itabidi tuwe apart kwa sababu mwanadamu amekosa ndio sababu twasalimiana from for hii covid imesababisha wengi wamefungiwa huko far sio tuu mina wewe bali ni dunia yote ime shutdown siati ni propaganda binadamu agonjeka dunia inapona hata ukiendea unga jaribu kukinga mwenye duka piga mask kwenye sura juu ata mwenye aka nayo hayuko sure kila mtu akue his brathers keeper tuwatoe masikini kwenye shida juu hii wingu ngumu inapita tujikinge tutafika natukifwata hizo advise lazima hii shida tutaiangamiza Ndio mi na wewe tukue closer sasa hivi itabidi tuwe apart kwa sababu mwanadamu amekosa ndio sababu twasalimiana from far Ndio mi na wewe tukue closer sasa hivi itabidi tuwe apart kwa sababu mwanadamu amekosa ndio sababu twasalimiana from for kumbuka vile berlin wall ilacome down eventually, ata hii pepo imefunga dunia itacome down itacome down wachenitushikanishe mawazo tuwakishe ulimwengu na mwangaza tuondoe hii giza inaangamiza watu, na mwangaza from county to county tusi back down sa ni time ya kupiga magoti bila ata lockdown in order for us to be together lazima tukuwe apart kwa sababu wote tume kosa kosa mimi na wewe in order for us to be together lazima tukuwe apart kwa sababu wote tume kosa kosa Ndio mi na wewe tukue closer sasa hivi itabidi tuwe apart kwa sababu mwanadamu amekosa ndio sababu twasalimiana from far Ndio mi na wewe tukue closer sasa hivi itabidi tuwe apart kwa sababu mwanadamu amekosa ndio sababu twasalimiana from for