
374,369 views
8 Nov 2017
Nyundo by flexx sijui ni seme sijui ni seme Nashindwa joo ni zame wapi... nyunda yangu sasa itauwa wapi usiwache endelea cheza nalo mbaka iseme jina zote unazo sijui niaze kusema vipi wacha tuu niseme uko fiti kwanza vile umesimama mtoto unafanya nashikwa na joto kwanza nikicheki iyo kifua naskia karibu kujiua lips zako soft zinasema nyundo yangu lazima itasema
Jua Cali and VDJ Jones feat Jeshi Jinga