
292,922 views
17 Feb 2020
Written and Performed by Alphajiri Arranged and Produced by Ihaji Additional BGVs by Chinyavu Frank Video Directed by Dolls #Subscribe #MyBae #Alphajiri Connect With Alphajiri on Follow Alphajiri on: SMS "SKIZA" 7636622 TO 811 Twitter : https://twitter.com/alphajirim Facebook : https://www.facebook.com/alphajirimuziki Instagram : https://www.instagram.com/alphajiri Email bookalphajiri@gmail.com for bookings ©2020 Administered by Ngomma VAS Limited. LYRICS VERSE ONE Navyoridhika nikikuona napokuona utamu wa moyo kama maradhi mi napona nikikuona umekuchagua moyo maneno yangu uliyaamini hukuenda popote uliridhia sawa hukusikizaga wahuni ukawaacha hao wote ukaniona sawa PRECHORUS Baby lemme love you ( love you ) I cannot be without you ( without you ) hili pete ishara i love you( love you ) uwe na jina langu CHORUS my bae *3 (ushaniteka teka moyo wangu ) my bae *3 ( na ni furaha wewe kuwa wangu )baibee * 2 Ashajulikana ashapatikana ashajulikana yeye ndio wangu ashajulikana VERSE TWO Mimi nawe ndio twajua kile tunacho ndani So baby come and give me your love mi nishakueka moyoni wazazi wangu wako waone nikikuchukua (chukua ) ukinijia wakupambie kwa maua machozi ya furaha laiti ungejua (ungejua ) twakata keki leo twajishaua PRECHORUS Baby lemme love you ( love you ) I cannot be without you ( without you ) hili pete ishara i love you( love you ) uwe na jina langu CHORUS my bae *3 (ushaniteka teka moyo wangu ) my bae *3 ( na ni furaha wewe kuwa wangu )baibee * 2 my bae *3 (ushaniteka teka moyo wangu ) my bae *3 ( na ni furaha wewe kuwa wangu )baibee * 2 Ashajulikana ashapatikana ashajulikana yeye ndio wangu ashajulikana