
1,326 views
16 May 2025
"Njeri" by Josephyl, Teslah & Joefes Kindly Subscribe @Josephyl_23 & @TeslahKenya Stream: https://blackmarket.lnk.to/njeri #Njeri #Josephyl #Teslah #joefes Njeri Lyrics: Njeri anawhine na bado akona vako za mgenge Njeri akona chaa li na bado anataka nimpende Njeri anawhine na bado akona vako za mgenge Njeri akona chaa li na bado anataka nimpende hhhh Josephyl Auskii tukiwa mtaani anakuaga very shy Akipita area kwanza amedunga tight Ye hufanya nasimama juu nawaza nikimpata na sina tension ntamkuta kesho Nimapunk ametokea loresho Kama ntaweza kumpeleka rotejo Akili inauma nguna me natafta Njeri ameweza sana Alikuwa huku jana Karibu tungekunjana Ni vile nilkua nachana Njeri ameweza sana Alikuwa huku jana Karibu tungekunjana Ni vile nilkua nachana Me like the mandem Fresh and clean Nanajitambua he want that scene You know ni vibe ukiwa na mimi Nipee design wote watatii Hi njeri hi hi nisalamu pia niko high Like k q in the air niko nice but with ke Like air Hi njeri ex wako ni wa jeri ako na geri Inengi flani mamchizi but mimi na wwe equation ni easy like Abc Your my kbc light ni eight is B Do you feel me B Hi njeri hey siku zote huwa sunny Yule mteja hapatikani Nyeri alipatikana Heri ata ungepick call ya mine Nimekuhata saa udai vako za mine Walae Njeri ameweza sana Alikuwa huku jana Karibu tungekunjana Ni vile nilkua nachana Njeri ameweza sana Alikuwa huku jana Karibu tungekunjana Ni vile nilkua nachana Njeri anawhine na bado akona vako za mgenge Njeri akona chaa li na bado anataka nimpende Njeri anawhine na bado akona vako za mgenge Njeri akona chaa li na bado anataka nimpende hhhh
Teslah feat Iyanii and Unspoken Salaton
Dj Moon, Nasibu and Joefes feat Unspoken Salaton