
34,178 views
28 Sep 2024
St Pauls Student Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi tunawakaribisha kutazama wimbo huu ambao ni wa kumsihi Mungu atukirimie katika maisha na juhudi zetu za kila siku. Wimbo: Ee Mungu Nimekuita Mtunzi: Venant Mabula Waimbaji: St Pauls Student Choir Audio and Video: Rajo Productions Kindly share, like, comment, and subscribe