
48,381 views
8 Oct 2021
Executive Producer: James Kahero Composer: Enock Mwenyi Music Director/arrangement: Kevin Motema Lead singer/adlibs: Enock Mwenyi Recorded at mastermade Studio Audio mixing & mastering: Baldmann Audio Sound Engineer: Baldmann Audio Video Producer: Director Richie x Leo UMETUTOA MBALI Lyrics 2021 Written by Enock Mwenyi John6:66-68 Chorus: Ume tutoa mbali Tuna kufuata Bwana Hatuta kuacha Milele tuta enda nawe Pamoja Verse: Akawakusanya maelfu, kawaambia mimi ni mkate wa uzima. Waliposikia wakamuondokea moja baada ya mwingine Akabaki na wana thenashara nae akawauliza nyinyi muna ngoja nini, Petro akasimama aka sema twende kwa nani eeeh Twende kwa nani kwako kuna maneno ya uzima Tumfuate nani atupae amani ya kweli. Akotika biso te, aza na biso ti nasuka aaaah. Hatutakuacha Hosanna X2 Hosanna tutakufuata Hosanna mbarikiwa Wewe Hatutajuta kukujua Hatujabahatisha kukuchagua