
23,696 views
23 Apr 2021
Executive Producer: James Kahero Composer: James & Aggie Kahero Music Director/Arrangement: Kevin Motema Recorded at ICC Nairobi Audio Mixing & Mastering: Chacha Zach Sound Engineer: Chacha Zach, Zach Mbogo Backline - Live Gigs Video Producer: Director Richie x Leo (ReelHouse) Lyrics: Mungu ndiye nuru yangu Wokovu wangu, ngao yangu, Nafsi yangu ita- ku-inuwa Yeye ndiye mwamba imara asiye tingisika kamwe nafsi yangu i-kuabudu Kwa maana we ni mfalme-eh-eh Wastahili heshima Tuungane mikono-o-o Sote tuimbe Chorus Wastahili heshima-a-a-ah Bwana wa majeshi Sifa zote ni zako, Jemedari mkuu Ukuu wako, waenea juu mbinguni, Duniani baharini, kote watawala. Amri zake bwana, hutia nuru machoni Ku-mcha Mungu ni utakatifu Amri zake bwana, Kweli ni-i za haki Kuliko dhahabu iliyo, safi sana Sina budi kutangaza, u-metukuka Tupa-ze sauti,Sote tuimbe.. Chorus Wastahili heshima-a-a-ah Bwana wa majeshi Sifa zote ni zako, Jemedari mkuu Ukuu wako, waenea juu mbinguni, Duniani baharini, kote watawala. Bridge (Uhimidiwe, Upewe Sifa Umetukuka, milele na milele) Kwa maana we ni mfalme Wastahili heshima Tuungane mikono-o-o Sote tuimbe Chorus Wastahili heshima-a-a-ah Bwana wa majeshi Sifa zote ni zako, Jemedari mkuu Ukuu wako, waenea juu mbinguni, Duniani baharini, kote watawala.