
22,433 views
30 Aug 2024
*UMETUALIKA* Umetualika nyumbani mwako tukuabudu ee Bwana umetualika nyumbani mwako tukuabudu ee Bwana x2 Hoyee twakupenda Mungu hoyee twakushangilia hoyee Kwa sauti zetu umetukuka Bwana 2.Umetualika nyumbani mwako tukutuze Bwana x2 3.Umetualika nyumbani mwako tukushukuru ee Bwanax2 4.Umetualika nyumbani mwako tukusujudu ee Bwanax2 5.Umetalika nyumbani mwako useme na #prayer #choir #music si ee Bwana x2 6.Umetualika nyumbani mwako utushauri ee Bwana x2 7.Umetualika nyumbani mwako utuongoze ee Bwana x2#prayer #dancemusic #thankyou