
5,511 views
22 Jun 2023
An entrance song that calls for rejoicing in the Lord. Tumejawa na furaha tele kuja mbele zako Mungu Baba, makao yako yapendeza Sana yamejaa utukufu wako Jina lako twalihimidi twakutukuza Daima milele Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu alituumba tuko watu wake ndiye mwenye nguvu Na uwezo tumwambudu tumshangilie Ongoza nafsi zetu zote Mungu na uzioshe dhambi zetu zote ili tuwe ndani yako Mungu nawe uwe ndani yetu Twaomba Mungu utusikilize maombi yetu na shukrani zetu twaelekeza nafsi zetu kwako tubariki na wema wako