
9,819 views
13 Nov 2020
Please like and subscribe to my channel don't forget to leave a comment Thank you. #GladysMwaiTheWorshiper #NgommaGospel Lyrics Jina La Yesu~Gladys Mwai* Verse one Uliyo tendaa Unayo tendaa (Ninakiri kuwa Wewe ni Mungu) Wema wako Fadhili Zako wee (Ninakiri kuwa Wewe ni Mungu) Ukuu wako Uaminifu wako (Ninakiri kuwa Wewe ni Mungu) Unipaye ushindi uinuliwe leo (Ninakiri kuwa Wewe ni Mungu) Chorus Hakuna Jina lingine chini wala juu Ila Jina la Yesu Hakuna Jina lingine chini wala juu ila jina la Yesu Yesu Yesu yesu Yesu Yesu Yesu Bridge Hakuna Jina lingine Jina tulilopewa Ila Jina lako Yesu Hakuna Jina lingine Jina tulilopewa Ila Jina lako Yesu Oooh hakuna Hakuna Jina lingine Jina tulilopewa Ila jina Lako Yesu Hakuna Jina lingine (Hakuna) Jina tulilopewa (hakuna) Ila Jina lako Yesu(hakuna) Chorus Hakuna Jina lingine chini wala juu Ilaa Jina la Yesu x4 Yesu x6 ©2020 Administered by Ngomma VAS Limited.