
11,515 views
24 May 2020
Written & performed by: Gladys Mwai Prod and Directed by: Jackes Bornblack for Bornblack Music Group Dop Bakari Ousman Back up vocals by Zippie Gachengo XJoy Temba X Joan Matata (C) Bornblack Music Group https://twitter.com/Gladys Mwai https://www.facebook.com/Gladys Mwai https://www.instagram.com/Gladys Mwai LYRICS Nainua macho yangu Natazama milimani, Nainua macho yangu Natazama milimani.... Nisaidie nisichoke, niwezeshe nikungoje Msaada wangu utatoka wapi Msaada wangu utatoka wapi Msaada wangu ukatika bwana Msaada wangu ukatika bwana Husinzii wala hulali mlinzi wangu uko nami Hutaniacha nianguke mlinzi wanguunilinde Nisaidie nisichoke,niwezeshe nikungoje.. Msaada wangu utatoka wapi Msaada wangu utatoka wapi msaada wangu ukatika bwana msaada wangu ukatika bwana Ni wewe baba,Ni wewe baba...aaah Ni wewe baba Ni wewe baba, Ni wewe baba ©2020 Administered by Ngomma VAS Limited.