
5,070 views
5 Nov 2022
Kwaya ya Vijana ya Mt. Patrick Thika Jimbo kuu katoliki la Nairobi wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu uitwao Kristu ni Yule Yule. Wimbo huu ni utunzi maalum wake Muli Franc na Kurekodiwa na studio za Starvision Media Pro.