
912 views
25 Mar 2022
Msifanye Migumu mioyo yenu, Msikie sauti ya Bwana.. Huu ni wimbo unaotuhimiza kumkaribia Mungu zaidi la muhimu Kumsikiliza na kulegeza mioyo yetu . Ni wimbo wa toba unao unafaa zaidi wakati wa kwaresma Mtunzi: Amos Mapunda (A.M) Waimbaji: Muli Franc na Tabitha Mutuli Organisti: Muli Franc Audio/Video: Star vision Media
