
7,327 views
14 Oct 2026
Dial *811*69816147# Karibu kwenye video rasmi ya wimbo wangu mpya unaoitwa "Ushuhuda". Huu ni wimbo unaobeba ujumbe wa shukrani, imani, na jinsi wema na mkono wa Mungu ulivyotenda makuu katika maisha yangu. Natumai wimbo huu utakuwa baraka na utainua imani yako! Kama umewahi kuona mkono wa Mungu ukikutetea au kukuvusha mahali pasipowezekana, huu ni wimbo wako wa kutangaza ukuu wake #lemajohn #music #gospelmusic #newrelease #gospelvibes #ushuhuda #tanzania #kenya Ken #africa #testimony
