
12,953 views
24 Aug 2023
Utaitika its a gospel song written and performed by Lema John #youtube #lema john #utaitika #mychannel https://youtu.be/LmkE595wDhw #Audio P.K #Lebel PGen1 #Video Sk Mandela https://youtu.be/LmkE595wDhw?si=lbkfwIY4SGv3iOil Najihisi niko chini moyo wangu umechoka Ninasali kwenye dini ila bado sijatoka Yesu niko hapa nimefungua moyo wangu Kuna mambo nayataka yanasumbua akili yangu Najaribu juu chini nisonge mbele Ila bado hali yangu iko vile vile Najikaza kidume nisonge mbele Ila bado mambo yangu yako pale pale Wewe ni mwokozi wakati wamajonzi Tena kimbilio wakati wa kilio Mungu unapenda visivyopendeka Tena unatenda yasiyotendeka Ulisema nikuite [utaitika] Pale naposhindwa [utaitika] Ulisema nikuite [utaitika] Nikilemewa mimi[ utaitika] Sometimes majaribu mob mob Yananipiga nisifike top top Sometime siwezi cope cope×2 Ni kweli nimepoteza imani Kwa vitu vingine Ila bado kwako tumaini lipo Nimekata tamaa kwa mambo mengine Ila wewe mungu wangu nakutumainia Wewe ni mwokozi wakati wa majonzi Tena kimbilio wakati wa kilio Mungu unapenda visivyopendeka Tena unatenda yasiyotendeka Ulisema nikuite [utaitika] Nikilemewa mimi [utaitika] Ulisema nikuite [utaitika] Pale naposhindwa [utaitika] Wewe ni mwokozi wakati wa majonzi Tena kimbilio wakati wa kilio Mungu unapenda visivyopendeka Tena unatenda yasiyotendeka Ulisema nikuite [ utaitika] Msaada wangu [ utaitika Tegemeo langu. [ utaitika] Madeni ya kizidi. [ utaitika] Majaribu yakija. [ utaitika] Wewe ni mchungaji wangu [ utaitika] Msaada wangu. [ utaitika] Utaitika baba. [ utaitika] Tegeo langu. [ utaitika] Pale naposhindwa. [ utaitika] Ulisema nikuite. [ utaitika] Majaribu yakiwa mengi. .[ utaitika]