
8,244 views
12 Jan 2022
Psalms 42:1. As a deer panteth for water, so as my soul long for you Lord. Written by Graham Bukhaya Performed: Graham Bukhaya Audio: Darwin Sounds (0733 479023) Video: Harrison Oduor (0728 963371) Vocalists Karambu Frida 0724 933341 (sop/alto) Millicent Kamau 0725 544169 (sop/alto) James Chage 0725314617 (tenor) LYRICS Zaidi ya pumzi uliyo nipa Zaidi ya nguvu ulio nipa Zaidi ya mamlaka uliyo nipa Zaidi ya uwezo ulio nipa Nakuhitaji, Nakuhitaji yesu Wewe pumzi Nakuhitaji, Nakuhitaji Yesu Wewe nguvu yangu Uwepo wako, ukae ndani yangu Kila saa kila wakati. Neno lako taa ya miguu yangu mwangaza kwa njia zangu Umenizingira na upendo wako Kila saa kila wakati Ukanifiche kivulini pa mabawa yako, nakuhitaji Njoo(lead) njoo (ans) Njoo (lead) njoo (ans) ndani yangu (ans) Unihuishe nafsi yangu, nitembee kwa njia za haki Njoo(lead) njoo (ans) Njoo (lead) njoo (ans) ndani yangu (ans) Nitembee kwa njia inayo fa, nikae karibu na weeeee Nakuhitaji, nakuhitaji Yesu wewe nguvu yangu Nakuhitaji, nakuhitaji Yesu wewe pumzi yangu