
3,530 views
30 Sep 2020
Wastahili is a song written and performed by Graham Bukhaya Audio - Noel Waitara Video - Cobby Joe A worship song that exalts God and tells of the greatness and The power and The glory of God. LYRICS Wastahili Bwana Wastahili Bwana Utukufu, na nguvu ni Zako Utukufu, na nguvu ni Zako Hakuna wakulinganishwa na wewe Mungu wangu Wewe nimwenye mamlaka, Ubwana wa majeshi Simba wa Yuda (Ni weeh Ni wewee) Mfalme wa Amani (Ni wewee) Mwangaza Gizani (Ni weeh Ni wewe) Ehhh (Ni wewe) CHORUS Wastahili Bwana Wastahili Bwana Utukufu, na nguvu ni Zako Utukufu, na nguvu ni Zako Hakuna kama wewe (Kama wewe) Hakuna kama wewe (Kama wewe) Mwenye nguvu kama zako (Kama wewe) Mwenye mamlaka kama wewe (Kama wewe) Mlinzi mkuu kama wewe (Kama wewe) Sijamwona Kama wewe (Kama wewe) BRIDGE Simba wa Yuda Mfalme wa amani Mwangaza gizani CHORUS Twakusifu Bwana Twakwabudu Bwana Sifa na Ibada Ni Zako Sifa na Ibada Ni Zako CHORUS Wastahili Bwana Wastahili Bwana Utukufu, na nguvu ni Zako Utukufu, na nguvu ni Zako