
58,328 views
12 Jun 2026
Written by Elijah Kaloki Audio by Sanaa Hub Music Video by Neat Media 1.Majaribu ninayoyapitia, Yawe funzo,wewe utenda upendavyo.. Katika mema, wewe wadhihirika, na Kwa mabaya, utabaki kuwa Mungu. Kama ni mapenzi yako, baba Wacha yatimie, duniani, kama huko juu mbinguni.... Kama yote yatendeka Kwa majira uloweka... Utukufu, ukurudie wee.... 2.Asubuhi,namka Kwa mahangaiko, Nile nini, ninywe,nivae nini....nitikiwatazama ndege, hawapandi hawavunii.....uwashibisha.. atanishughulikia. 3.Tumkumbukeni Ayubu,alivyojaribiwa, Watoto kafa,mali yake kaisha...hakumfukuru Mungu baada ya kulalamika,Kwa uaminifu, kalipwa mara dufu. © 2026 The Parapandaz. All rights reserved. Unauthorized reproduction, distribution, or re-upload of this audio or video is prohibited.