
114,233 views
14 Mar 2025
00:00:27 Je wewe umetayarika Kumgoja mwokozi Ng'ambo ya mto tutaonana Sote tulioshinda ya Dunia. 00:00:49 Je wewe umetayarika Kumgoja mwokozi Ng'ambo ya mto tutaonana Sote tulioshinda ya Dunia. 00:01:11 Parapanda, parapanda, itakapolia, watu wote waliolala ndani ya Yahshua Watafufuliwa wamlaki mawinguni Nasi tulio hai tubadilishwe kwa pamoja 00:01:36 Parapanda, parapanda, itakapolia, watu wote waliolala ndani ya Yahshua Watafufuliwa wamlaki mawinguni Nasi tulio hai tubadilishwe kwa pamoja 00:03:12 Roho anasema njoo aliye na kiu njoo Unywe maji maji ya uzima aah Roho anasema njoo aliye na kiu njoo Unywe maji maji ya uzima aah Song Composed by Jeremia Muthama Video by Neat Media Audio by Msanii Records Parapandaz copyright 2025