
2,817 views
21 Aug 2026
Official music video for "Bukla" by FRAT TWINZ Support us on QubePlay: https://qubeplay.com/songs/bukla-97 Stream: https://album.link/bukla Lyrics: Ka unadai kurusha rusha Nikona maboy joh hawaogopi kuzusha Lifestyle mad joh kuruka Tuko kwenye klabu kazi tu ni kubanjuka Ka unadai kurusha rusha Nikona maboy joh hawaogopi kuzusha Meza tumejaza machupa Kama meno ziko tunavunja mifupa Hapa joh ni chupa chupa Ziukam two back to back zinakuja (Back zinakuja) Later ni mashuksha shuksha Party round two niko back na aluta (Back na aluta) Meza tumejaza tu machupa (Chupa) Na last man kutoka hapa joh ni buda (Buda) Napour one pour two zimelipuka (Puka) Zimepanda utadhani ni mafuta (Futa) Zimepanda hazitaki joh kushuka (Shuka) Panda ndege hiyo namba nilitupa (Tupa) Huyo Mteja wa nambari ako bukla (Bukla) Ni one lege nayo nayo anguka (Nguka) Si tuko club tuna vibe si tunajibamba Na kuna some wako kwa kitanda Why why nabaki nikiwonder Mtu mzima hanywi kwani rada? Ka unadai kurusha rusha Nikona maboy joh hawaogopi kuzusha Lifestyle mad joh kuruka Tuko kwenye klabu kazi tu ni kubanjuka Ka unadai kurusha rusha Nikona maboy joh hawaogopi kuzusha Meza tumejaza machupa Kama meno ziko tunavunja mifupa Mboka toka Monday tunapiga na bidii Ikifika Jumamosi ni maini ndio itatii Tulianza Friday chini ya maji joh kisiri Ikifika Jumapili ni mamaji tu kwa wingi But for now waiter ongeza chupa mbili Na zikuje na barufu napenda zikiwa baridi Ni matusker na mapili zimeshika joh visilly Na iyo bill si ni mimi nisort (Na siringi) Kama ganji ziko tupa Leo kutanuka Tuaanzie Umoja tujipate tuko Juja Kata tu na pupa Inengi zinakuja Wakumeditate wafike level ya Buddha (Juu) Vile zimeshika (Na) Sai ukinishika (Nakushow) Zako zitashika (Walai) Akili iende Venus Tulianza saa sita Jicha sai ni preacher Mizinga kama sita zimeland (Oh Jesus) Ka unadai kurusha rusha Nikona maboy joh hawaogopi kuzusha Lifestyle mad joh kuruka Tuko kwenye klabu kazi tu ni kubanjuka Ka unadai kurusha rusha Nikona maboy joh hawaogopi kuzusha Meza tumejaza machupa Kama meno ziko tunavunja mifupa Follow us on: Instagram: https://www.instagram.com/frattwinz TikTok: https://www.tiktok.com/@frattwinz Twitter: https://x.com/frattwinz Directed by Sane Visuals https://www.instagram.com/_sane.visuals Camera & Lights https://www.instagram.com/jay_marvel._ Produced by Ongusngus https://www.instagram.com/ongusngus Outfits by Mintformforge https://www.instagram.com/mintformforge