
749 views
12 Jun 2026
Official music video for "Eazy" by FRAT TWINZ Stream/download: https://song.link/eazysingle Lyrics: (Nasonga nikimind my steps) (Kuna snakes wako on my neck) (Nikigrind nikisaka this cake) (Sometimes me hutaka tu bread) (Hataka hamtaki mtaniknow) Nani anaifanya kaa me? (Hakuna) Sisi ndo kusema kwa hii city Ni Jah, talanta na bidii (Jah) Ndo maana nafanya ikae rahisi (Easy) Nani anaifanya kaa me? (Hakuna) Sisi ndo kusema kwa hii city Ni Jah, talanta na bidii (Jah) Ndo maana nafanya ikae rahisi (Easy) First thing’s first Press record nilay hii verse Vitu si hufanya we unaobserve (Hmph!) Vacay ya kwanza nadai ikuwe Turks Pay my tax na hii mziki ndo works Hawa wasee wametulalia sana Bout time tuwaamshe joh bana Mentality ya Barrack Obama (Yes we can) Work rate ya Kobe Black Mamba Juu venye si ball I swear hujai ona Si nliwashow me ni rap Maradona Mambleina wanabonga Kazi ni kiyap na kurun their mouths kaa watoto na ni grown ups So called bros waliturn kuwa foes And I’m so cold bro joh wipe your nose Ukizaski hizi flows unabaki uko Frozen Kaa Elsa, aki walai me napenda hii pressure Nani anaifanya kaa me? (Hakuna) Sisi ndo kusema kwa hii city Ni Jah, talanta na bidii (Jah) Ndo maana nafanya ikae rahisi (Easy) Nani anaifanya kaa me? (Hakuna) Sisi ndo kusema kwa hii city Ni Jah, talanta na bidii (Jah) Ndo maana nafanya ikae rahisi (Easy) Nani anaifanya like this? (FRAT TWINZ) All time imekuwa tu hits Nani anaifanya like this? (FRAT TWINZ) All time imekuwa FRAT TWINZ Walinishow me ndo joh hurep home Top dawg joh kutoka class four (Class four) Niko on tena bado nawaown Ni kawarm joh washow nawawarn Nasonga nikimind my steps Kuna snakes wako on my neck Give thanks every time I wake Nikijua ni my life at stake Nikigrind nikisaka this cake Sometimes me hutaka tu bread Wakisema joh you fake it till you make Kuna mtu anasema I’m fake Nani anaifanya kaa me? (Hakuna) Sisi ndo kusema kwa hii city Ni Jah, talanta na bidii (Jah) Ndo maana nafanya ikae rahisi (Easy) Nani anaifanya kaa me? (Hakuna) Sisi ndo kusema kwa hii city Ni Jah, talanta na bidii (Jah) Ndo maana nafanya ikae rahisi (Easy) Follow us on: Instagram: https://www.instagram.com/frattwinz TikTok: https://www.tiktok.com/@frattwinz Twitter: https://x.com/frattwinz Directed by Sane Visuals https://www.instagram.com/_sane.visuals Produced by Ongusngus https://www.instagram.com/ongusngus