
144,699 views
Tipsy Gee and Spoiler 4T3
22 Jun 2024
So Si Kama Gen-Z Yaani Generation Z , Iyo Ufala Mnatubeba Tumekataa Nayo Ziii, TunaReject Iyo Bill Na Hatudai Izo Deals Kwanza Next Election Si Ndo Tunachukua Seat .. Abadan Katan Mjue The Bill Tumekataa Abadan Katan Mjue The Bill Tumekataa Msitubalance , Si Ni Gen Z Msitubalance Ati : Kumbe Gen- Z Ndo Dawa Ya Washen-Z We Are Not Our Parents , Si Ni Gen-Z

Spoiler 4T3 feat Rahmu and Diaso
Spoiler 4T3 feat Lil Maina and Soundkraft