
21,336 views
29 Aug 2016
Follow me on Twitter : @juacaligenge Facebook page : https://www.facebook.com/Jua-Cali-7573659695/ Instagram : https://www.instagram.com/juacaligenge/ Juacali - SafSana Off the 4th upcoming Album - Mali Ya Umma Produced by Babz on the Track SAFSANA Lyrics VERSE 1 Vile nilingia ngoma sikua najua vile itakuwa Kitu nilikua najua tu nitawauwa Nipe pen nipe karatasi Mawazo zote zitoke kichwani Tuko wengi lakini najua me niko sawa Me ndio kusema me ndio yule mbaya Calif yote nyuma yangu Mpango nikuchange industry ikue kwangu Wape ngoma tamu wasirudi nyuma Wasanii tunawacheka wakianguka Genge jina kubwa inasimama Tukitembea kila mahali kila mtu anasema….. CHORUS : SAFSANA SAFSANA SAFSANA HAPO SAWA ASANTA *2 VERSE 2 Jina inajipa lakini sijaridhika Mavijana wakona mimi/Wazee sijawashika Pole pole tu watakubali Pole pole wataelewa lugha ya mtaani Nani alisema hatutatoboa Hakuna makazi hii ndio kitu itatuokoa Show ya bure me napiga tu Ata wasipoinua mkono nitawaimbia tu Hivyo hivyo hakuna kuogopa Nauwa show ungedhani me ni show Stopper Genge ndio hio inabaki imesimama Baada ya show kila mtu anasema….. CHORUS : SAFSANA SAFSANA SAFSANA HAPO SAWA ASANTA *2 VERSE 3 Ka una unasupport Genge shukran sana Ka we ni DJ shukran sana Ma Club zote shukran sana Radio zote shukran sana Watu wa Majuu shukran sana Ma Promoter wote shukran sana Mtaa zote shukran sana Wewe na wewe shukran sana TV zote shukran sana MaGazeti zote shukran sana Ma Corporate wote shukran sana Bila nyinyi hatungekua hapa… CHORUS : SAFSANA SAFSANA SAFSANA HAPO SAWA ASANTA *4
Jua Cali and VDJ Jones feat Jeshi Jinga