
140,479 views
30 Apr 2017
Sms the word "TAZAMA" to 22384 to get this song on your phone. Written by: Daddy Owen Audio by : Johnttez Recorded at Jumbo Sounds Video by Davy Barbz Label: Beats and Blessings Music Group LYRICS to the song; Intro Johntezz wapi machungwa Daddy Owen once again Mambo mapya Story ndio zao Baraka ndio zetu CHORUS Tazama tazama Adui yuazunguka Chunguza chunguza Adui yuazunguka Tazama eeh tazama aah Tazama tazama Tazama tazama Adui yuazunguka VERSE1 Ukiona wingu lakusanyika Jua kwamba kuna gharika Ibilisi yuaja kutumaliza Kuharibu na kuchukua Mi nakusihi Umuamini Mungu mwenyezi Akuthamini Oh weh oooh Chungeni sana shetani ni mbaya Oh weh oooh Azunguka kama simba marara Oh weh oh weh Chungeni sana shetani ni mbaya Oh weh oh weh Azunguka kama simba marara CHORUS VERSE 2 Usiwe popo Si mnyama na si ndege wala kinyonga Si kijani si manjano Usiwe popo Si mnyama na si ndege wala kinyonga Kwako niwe Bwana eeh Nasimama wima Niongoze kwani ndiwe Mwamba na salama Kwako niwe Bwana eeh Nasimama wima Niongoze kwani ndiwe Mwamba na salama CHORUS BRIDGE Wapendwa tusisahau kufunga na kuomba Na kukesha kwa maana ibilisi agurumae kama simba Uzungukazunguka akitafuta mtu wa kumeza Lakini yeye ni mfano wa simba tu CHORUS