Ababu Namwamba azungumza kuhusu ukarabati wa uwanja wa Kasarani | Jungu la Spoti

  • | NTV Video
    3,222 views

    Timu ya taifa ya soka ya Harambee Stars itachezea katika uwanja wa kimataifa wa Moi Kasarani kwa mara ya kwanza kwa kipindi cha takriban miaka miwili. Stars itapambana na DR Congo Agosti tarehe 3 katika mechi yake ya kwanza ya kundi A ya dimba la CHAN

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya