ADF walaumiwa kwa shambulizi ya shule Uganda

  • | BBC Swahili
    1,073 views
    Hili ni moja ya shambulio hatari nchini Uganda katika zaidi ya muongo mmoja lililowahi kutekelezwa na ADF. Lakini je, hawa ADF ni nani haswa? Elizabeth Kazibure anaarifu zaidi... #bbcswahili #uganda #ADF