Afcon U20: Kenya kukabiliana na Nigeria

  • | Citizen TV
    204 views

    Kocha Wa Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Chipukizi Chini Ya Miaka 20 Salim Babu Atafanya Mabadiliko Katika Timu Hiyo Itakayomenyana Na Nigeria Baadaye Usiku Wa Leo Katika Mechi Yao Ya Mwisho Ya Kundi "B" Ya Mashindano Ya Kombe La Mataifa Ya Afrika Chini Ya Miaka 20 Nchini Misri.