Afisa Mkuu Mtendaji wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi, Kabale Tache Arero, amepuuzilia mbali madai kwamba analenga kuwania kiti cha kisiasa katika Kaunti ya Marsabit. Akizungumza katika eneo bunge la Saku, Arero alisema kuwa ameridhika na nafasi yake katika Tume ya Kitaifa ya Ardhi, na shughuli yoyote anayofanya katika eneo hilo ni sehemu ya kushukuru jamii iliyomkuza
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive