Afisa Mkuu wa Kituo cha Central Samson Taalam ameshtakiwa Milimani

  • | Citizen TV
    19,968 views

    Tume ya IPOA leo imewasilisha ombi mahakamani la kutaka afisa mkuu wa kituo cha polisi cha Central Samson Taalam anazuiliwa kwa siku 21 kuruhusu uchunguzi dhidi yake kwenye mauaji ya mwalimu na mwanablogu Albert Ojwang'.