Afisa mmoja wa chuo kikuu cha Garissa afikishwa mahakamani kwa kughushi vyeti vyake vya masomo

  • | Citizen TV
    435 views

    Afisa mmoja wa chuo kikuu cha Garissa amefikishwa katika mahakama ya Garissa akikabiliwa na mashtaka saba yanayohusiana na KUGHUSHI vyeti vyake vya masomo na kuvitumia kupata ajira na kupandISHWA cheo katika chuo hicho.