Afisa mmoja wa polisi wa akiba auawa baada ya kuvamiwa na majambazi katika eneo la Baringo Kusini

  • | Citizen TV
    1,666 views

    Afisa Mmoja Wa Polisi Wa Akiba Ameuawa Huku Wengine Watatu Wakinusurika Kifo Kwa Tundu La Sindano Baada Ya Kuvamiwa Na Majambazi Katika Eneo La Baringo Ya Kusini. Maafisa Hao Wa Akiba Walikuwa Wakielekea Kazini Ambapo Wanashika Doria Kulinda Mkandarasi Anayejenga Barabara .