Skip to main content
Skip to main content

Afisa wa DCI ameuawa kwa kudungwa kisu Kitale

  • | Citizen TV
    13,545 views
    Duration: 2:33
    Afisa wa DCI anayehudumu mjini Kitale, Kaunti ya Trans Nzoia, ameuawa kwa kudungwa kisu katika mazingira ya kutatanisha alipokuwa kwenye operesheni ya kumkamata mshukiwa wa mauaji huko Matisi. Tukio hilo limezidisha hofu miongoni mwa wakazi, hasa ikizingatiwa kuwa eneo hilo tayari limeshuhudia mauaji ya watu watatu ndani ya kipindi cha chini ya wiki moja.