Afisa wa KWS afariki kwenye ajali Diani

  • | Citizen TV
    1,734 views

    Afisa mmoja wa shirika la huduma kwa wanyama pori kaunti ya Kwale amefariki baada ya kuhusika kwenye ajali ya barabarani katika eneo la Diani.