Afisa wa polisi aliyerekodiwa akiwavaamia wanahabari anahudumu katika kituo cha Central Nairobi

  • | K24 Video
    1,727 views

    Afisa wa polisi aliyerekodiwa akiwavaamia wanahabari waliokuwa katika msafara wa Raila Odinga wakati wa maandamano ya Alhamisi ya Azimio , anahudumu katika kituo cha central hapa jijini Nairobi. Japo picha zake zimesambaa kwingi ,idara ya polisi imesalia kimya kuhusu afisa huyo ambaye inasemekana hiyo haikuwa mara ya kwanza kwake kutishia maisha ya raia badala ya kuyalinda.