Afisa mmoja wa polisi wa kituo cha msitu wa Boni, Lamu amefikishwa katika mahakama ya Busia kwa mashtaka 15 ikiwemo kushirikiana na wananchi katika vijiji vya Ibanda na Shibale eneo bunge la Butula kaunti ya Busia na kuharibu mali ya raia ya dhamani ya Sh10m.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya