Afrika kuathirika zaidi na Uingereza kukata misaada

  • | BBC Swahili
    1,900 views
    Wizara ya mambo ya kigeni ya Uingereza hii leo imetangaza mipango ya kupunguza ufadhili wake kupitia shirika lake la misaada UKAID kwa asilimia 40. - Mpango huu utaathiri watoto zaidi ya 170,000 katika mataifa ya Afrika ambayo yanakumbwa na vita na hali mbaya ya kiusalama. - Ufadhili huu utaathiri shughuli kama vile katika sekta ya afya ya wanawake na miradi ya kuwafaa kina mama. - @HamidaAbubakar anachambua suala hili kwa kina kwenye Dira ya Dunia TV mubashara saa tatu usiku kupitia ukurasa wa YouTube BBC Swahili - - - #bbcswahili #diratv #dirayaduniatv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw