Skip to main content
Skip to main content

Afueni kwa uchukuzi na watumizi wa mafuta baada ya bei kupungua

  • | Citizen TV
    4,279 views
    Duration: 1:21
    Wachukuzi, wamiliki wa matatu na wananchi wnaaotumia mafuta wamepata afueni baada ya serikali kushusha bei ya mafuta. kwenye taarifa iliyotolewa na mamlaka ya EPRA, kuanzia saa sita usiku, bai ya petroli itashuka kwa shilingi 4 na senti 24 kwa lita, Dizeli kwa shilingi 3 na senti 93 na mafuta taa kwa shilingi moja.