- 10,926 viewsDuration: 2:44Wakenya wenye mapato ya chini huenda wakapata nafuu hivi karibuni iwapo mpango wa kuwaondolea ushuru wa mishahara utatimia. Kwa mujibu wa waziri wa fedha John Mbadi, serikali imeafikia kuwaondolea ushuru zaidi ya wakenya milioni 1.5 wenye mapato ya chini ya shilingi elfu thelathini. Akizungumza katika kaunti ya meru, mbadi amesema hatua hiyo itawezeshwa kupitia mabadiliko katika sheria ya ushuru.