Aibu ya Madaraka Dei | Polisi waliopamba Madaraka Dei walalamikia kukosa chakula na sare rasmi

  • | Citizen TV
    2,772 views

    Aibu Ya Madaraka Dei Polisi Waliopamba Madaraka Dei Wanalalamika Wanadai Walikuwa Wakiishi Katika Hali Mbaya Kambini Maafisa Hao Wanasema Walikosa Chakula Na Sare Za Sherehe Maafisa Hao Walikuwa Kambini Kwa Mwezi Mmoja Picha Zilionyesha Wakibugia Mkate Kwa Soda Madaraka Dei