22 Oct 2025 7:59 pm | Citizen TV 1,260 views Duration: 54s Watu 48 wamefariki kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha magari manne mjini Kampala, Uganda. Ajali hii ilitokea muda mfupi baada ya saa sita usiku katika barabara kuu kutoka Kampala kuelekea Gulu