- 1,016 viewsDuration: 1:26Watu kadhaa wanauguza majeraha kufuatia ajali ya barabarani iliyowaua watu sita. Ajali hiyo ilitokea baada ya dereva wa basi la kampuni ya Chania Executive kupoteza mwelekeo na kuanguka katika eneo la Manyatta, kaunti ya Taita Taveta.