Skip to main content
Skip to main content

Ajali ya msafara wa Duale: Watu 3 wafariki na 5 kujeruhiwa, gari la waziri lilihusika

  • | Citizen TV
    2,854 views
    Watu watatu walifariki huku wengine watano wakilazwa katika hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga baada ya ajali iliyohusisha gari la msafara wa waziri wa afya Aden Duale. Gari hilo liligonga magari mawili katika barabara ya Kisumu -KWENDA Busia. Laura Otieno alizungumza na baadhi ya waathiriwa na kuandaa taarifa ifuatayo.