Skip to main content
Skip to main content

Ajali yatokea kwenye barabara ya Valley Nairobi na kusababisha mauti

  • | Citizen TV
    7,898 views
    Duration: 1:45
    Mwendeshaji wa pikipiki alikwama chini ya gari aina ya Probox na kufariki papo hapo kwenye ajali iliyotokea leo asubuhi katika barabara ya Valley road karibu na mzunguko wa Integrity Centre. Watu wengine wanane walijeruhiwa baada ya basi la abiria la city kupoteza mwelekeo na kugonga magari kadhaa. Waliokuwepo ndani ya basi hilo wanasema kuwa dereva alishtuka na kutoweka. polisi wanachunguza ajali hiyo.