Al-Jazeera: Mwandishi na mpiga picha wauwawa katika shambulizi la Israel
Kituo cha televisheni cha Qatar Al Jazeera kimesema Jumatano (Julai 31) kuwa mwandishi wake Ismail al-Ghoul na mpiga picha Ramy El Rify waliuwawa katika shambulizi lililofanywa na Israel mjini Gaza City.
Anas Al-Sharif, rafiki wa waandishi wawili waliofariki, aliiambia Al-Jazeera kuwa Ghoul na Rifi walikuwa wako kazini wakipiga picha karibu na nyumba ya Ismail Haniyeh, kamanda wa Hamas aliyeuwawa Iran mapema Jumatano katika shambulizi ambalo kikundi hicho cha Hamas kinailaumu Israel.
Ofisi ya habari ya serikali ya Gaza inayoendeshwa na Hamas ilisema vifo vipya hivyo vimeongeza idadi ya waandishi wa habari waliouwawa katika mashambulzii ya Israeli kufikia 165 tangu vita kuanza Oktoba 7.
Shambulizi la Israeli huko Gaza kulipiza kisasi lilianza siku hiyo hiyo kwa kushambulia kwa mabomu na limeendelea kwa miezi tisa pamoja na uvamizi wa ardhini ambapo mamlaka za afya Palestina zinasema imeuwa zaidi ya watu 38,000 na kujeruhi zaidi ya watu 80,000. - Reuters
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen #hospitali #nasserhospital #unrwa #nuseirat #mwandishi #aljazeera
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- Two families in Mlolongo, Machakos County, are in anguish months after their kin disappeared under mysterious circumstances.
7 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
7 Aug 2025
- A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
7 Aug 2025
- The late MP was a trailblazer on many fronts.
7 Aug 2025
- The operation was a joint effort between police and KWS.
7 Aug 2025
- The arrests were made during an operation on Wednesday night.
7 Aug 2025
- CBK is expected to respond to the bankers' request next week on Tuesday.
7 Aug 2025
- They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
7 Aug 2025
- The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
7 Aug 2025
- By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project