Albert Ojwang’ atajwa kama mwanablogu mashuhuri, alipangiwa kurejea Malindi

  • | NTV Video
    2,415 views

    Mwendazake Albert Ojwang’ alikuwa anatarajiwa kurejea Malindi kaunti ya Kilifi siku ya jumatano wiki hii, alikokuwa anaishi kabla ya kuondoka kwenda Homa Bay kumuona babake. Haya yanajiri baada ya marafiki na hata majirani wake kumtambua marehemu kama mwanablogu aliyekuwa na ushawishi mkubwa mitandaoni.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya