alinzi wa kibinafsi zaidi ya 100 maarufu kama 'bouncers' wafuzu

  • | Citizen TV
    1,183 views

    Walinzi wa kibinafsi zaidi ya 100 maarufu kama bouncers wamefuzu kwa masomo katika sekta hiyo baada ya serikali kuagiza walinzi hao kupokea mafunzo kuhusu nidhamu na jinsi ya kuwatambua wahalifu wanapokuwa kazini.