Aliyekuwa mbunge wa Horr Kaskazini Chachu Nganya atuzwa

  • | KBC Video
    43 views

    Aliyekuwa mbunge wa Horr Kaskazini Chachu Nganya, amejitolea kuendelea kuwasaidia wanafunzi wengi wasioweza kulipa karo ya shule katika eneo la kaskazini mwa Kenya. Chachu alituzwa tuzo la huduma ya kijamii La Sol Feinstone la mwaka huu, kutoka baraza kuu la wanafunzi wa zamani wa chuo kikuu cha St Lawrence nchini Marekani. Aidha alisema atatumia fedha za tuzo hilo kufadhili elimu kwa wanafunzi wasiojiweza.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #ChachuNganya