Madaktari wanaogoma wapewa barua za makataa na gavana wa Kisii Simba Arati

  • | Citizen TV
    974 views

    Kaunti ya Kisii imewaandikia barua madaktari na wahudumu wote wa afya walioko kwenye mgomo kuwataka kutoa sababu za kutokuwa kazini kwa siku 50 sasa. Hayo yanajiri wakati ambapo huduma za afya katika hospitali za kaunti ya Kisii zinazidi kulemazwa na kusababisha mahangaiko zaidi kwa wananchi. Chrispine Otieno anaungana nasi mubashara kutoka Kisii.